<?xml encoding="utf-8" ?>
Muda Wa Kumnyonyesha Mtoto Na Je Kuna Malipo Kama Hukumnyonyesha?
SWALI
Asalaam alaykum.
Mimi nauliza ni muda gani wa kumyonyesha mtoto halafu kama haukutimia imetokea bahati mbaya unaweza kumlipa yule mtoto?
JIBU:
Uzazi - Malezi
<?xml encoding="utf-8" ?>
Muda Wa Kumnyonyesha Mtoto Na Je Kuna Malipo Kama Hukumnyonyesha?
SWALI
Asalaam alaykum.
Mimi nauliza ni muda gani wa kumyonyesha mtoto halafu kama haukutimia imetokea bahati mbaya unaweza kumlipa yule mtoto?
JIBU:
<?xml encoding="utf-8" ?>
Kuwatambulisha Watoto Bila DNA
SWALI:
Salaam aleikum sheikhe. Swali yangu ni katika dina kama mama wawili wamechanganisha watoto wachanga na kila mama anadai amezaa mtoto mvulana. Je dini inaweza kuwatowanishaje ukiondoa kuchukuliwa DNA. Naomba unijibu kutokana kwa Quran na Sunna.
JIBU:
<?xml encoding="utf-8" ?>
Kumwita Mtoto Jina La Maulaana
SWALI:
Je naweza kumwita mtoto wangu jina lake "Mulana" bin fulani?
JIBU:
<?xml encoding="utf-8" ?>
Sifanani Na Baba Yangu Je ni Mtoto Wa Haraam?
SWALI:
Salam aleykum mimi na baba yangu hatufanani kwa sura wala rangi yani wengi wamekuwa wakisema kuwa si baba yangu tokea kwa siri hadi dhahiri je nifanyeje ili kujua ukweli katu siwezi kumuliza mama juu ya hilo kwani kwa mila zetu ni utovu wa adabu tafadhali nisaidie.
JIBU:
<?xml encoding="utf-8" ?>
Kuwapa Watoto Majina Ya Allaah
Au Majina Yanayomshirikisha Allaah Kama 'Abdur-Rasuwl, 'Abdul-Husayn
Nini Hukmu Yake?
SWALI 1
Nini hukumu ya kuwapa watoto majina ya Allah sw kama vile SHAQUR, SATARU na mengineyo???
Assalam alaykum
SWALI La 2:
<?xml encoding="utf-8" ?>
Kuinuliwa Mtoto Mchanga Magharibi Na Kumlaza Kifudifudi Imethibiti Usahihi Wake?
SWALI:
As. kum In Shaa Allaah wote wazima.
Naomba niulize hivi – Ina maana gani kumlaza mtoto kifudifudi?
<?xml encoding="utf-8" ?>
Kumwita Mtoto Jina La Balqiys Au Bilqiys
SWALI:
Assalaam alykum warahmatullaah wabakaatuh.
Sifa njema ni za Allaah, mola wa viumbe vyote. Sala na salaam zimwendee mtume wetu Muhammad Namshukuru Allaah aliyenijalia pamoja nanyi kuwa waislam.