Imaam Ibn ‘Uthaymiyn
Mwanamke Asikate Nywele Kushabihiana Na Ukataji Wa Wanaume
Imaam Ibn Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Japokuwa mwanamke ameruhusiwa kukata nywele, lakini mkato wake wa nywele usishabihiane na mkato wa wanaume.”
[Asw-Swalaah, uk. 29]